Je, unajuwa maana ya jazanda? Unajuwa matumizi yake kwenye fasihi ya Kiswahili na hata lugha ya kawaida mitaani, vibarazani na majumbani mwetu? Profesa Kithaka wa Mberia wa Chuo Kikuu cha Nairobi, ...